Entertainment

SHOW YA DRAKE & KANYE WEST KIINGILIO SHILLINGI 22,000-56,000

SHOW YA DRAKE & KANYE WEST KIINGILIO SHILLINGI 22,000-56,000

Mashabiki wa muziki nchini Marekani wamelia juu ya bei kiingilio cha show ya Drake na Kanye West.

Kupitia mitandao ya kijamii mashabiki wamelalamikia kuwa kiingilio ni kikubwa sana tofauti hata na jina la show hiyo ambayo inaitwa Free Larry Hoover.

Kanye West na Drake wanatarajia kupanda jukwaani kufanya show maalum yenye mlengo wa kumnasua kiongozi wa genge la kihuni Larry Hoover ambaye kwa sasa yupo jela.

Kiingilio cha show kinatajwa kuanzia dola 200 hadi 500 za kimarekani ambazo ni sawa na kati ya shilingi elfu 22,480 na 56,200 za Kenya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *