Entertainment

EVELYN WANJIRU AACHIA RASMI MWANGA ALBUM

EVELYN WANJIRU AACHIA RASMI MWANGA ALBUM

Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini  Evelyn Wanjiru ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la  Mwanga, album ambayo ina jumla ya mikwaju 13 ya moto.

Album hiyo ambayo kwa sasa inapatikana kupitia mtandao wa ku-stream muziki wa Boomplay, haina collabo hata moja, kwani ngoma zote Evelyn kapita nazo mwenyewe.

Album ya “Mwanga” ni album ya nne kwa mtu mzima  Everlyn wanjiru  tangu aanze safari yake ya muziki baada ya Celebrate iliyotoka mwaka wa 2019 ikiwa na jumla ya mikwaju 9 ya moto

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *