Tamasha la mwanamuziki nyota barani Afrika Koffi Olomide lililotarajiwa kufanyika Desemba 11 jijini Nairobi, limekatishwa baada ya mwanamuziki huyo kutumbuiza nchini Rwanda.
Waandalizi wa tamasha la Kenya wameahidi kurejesha pesa kamili kwa mashabiki waliopata tiketi za onyesho hilo, wakitaja sababu kadhaa za kuhairishwa kwa tamasha hilo ikiwemo kuwahi kukutwa na hatia ya ubakaji mwaka 2019.