Entertainment

TEMS AVUNJA UKIMYA JUU YA VIDEO YAKE NA WIZKID

TEMS AVUNJA UKIMYA JUU YA VIDEO YAKE NA WIZKID

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Tems ameamua kuvunja ukimya baada ya maneno kuwa mengi kwenye mitandao ya kijamii yakihusisha kuwa anatoka kimapenzi na wizkid

Akiwa kwenye moja kati ya show zake Tems amesema kuwa “Wizkid ni kaka yangu, nampenda sana. Nahitaji mfahamu kuwa yeye ni binadam na mimi ni binadam hakuna kitakachobadilika”

Tems ameongea hayo baada ya Wizkid kujaribu kumbeba jukwaani kwenye show ya 02 Arena walioifanya huko nchini Uingereza. Video ilitafsiriwa kuwa wanamahusiano yaliyopitiliza kiasi cha Wizkid kushindwa kujizuia jukwaani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *