Videon Vixen wa Vaileti ya Matonya Aomba Msaada wa Kujinasua Umaskini

Videon Vixen wa Vaileti ya Matonya Aomba Msaada wa Kujinasua Umaskini

Mwanadada aliyewahi kuwa video vixen kwenye wimbo wa Matonya wa Vaileti amefunguka kuhusu changamoto zinazomkabili baada ya kujitokeza wazi na kuomba msaada wa kujinasua kutoka kwenye lindi la umaskini. Akizungumza kwenye mahojiano hivi karibuni, ameeleza kuwa ushawishi wa marafiki na makundi mabaya ulimpelekea kupoteza mwelekeo wa maisha na kujikuta akipambana na hali ngumu kiuchumi kutokana […]

Read More
 Irene Uwoya Akanusha Kuwahi Kufunga Ndoa na Dogo Janja

Irene Uwoya Akanusha Kuwahi Kufunga Ndoa na Dogo Janja

Muigizaji mkongwe wa filamu za Bongo, Irene Uwoya, amekanusha vikali madai kuwa aliwahi kufunga ndoa na msanii wa muziki pamoja na Diwani wa Kata ya Ngarenaro, Abdulazizi Chande maarufu kama Dogo Janja. Uwoya, ambaye kwa sasa amejikita zaidi katika huduma za kiroho kama mchungaji, amesema wazi kuwa hakuna cheti chochote cha ndoa kinachothibitisha kuwa aliwahi […]

Read More
 Q Chief Azua Gumzo Baada ya Kutishia Kumpiga Mtangazaji wa EATV

Q Chief Azua Gumzo Baada ya Kutishia Kumpiga Mtangazaji wa EATV

Msanii mkongwe wa Bongofleva, Q Chief amezua gumzo mitandaoni baada ya kutishia kumtwanga mtangazaji wa EATV, kufuatia madai yaliyoibuliwa wakati wa mahojiano kuwa ana mpango wa kuacha muziki kutokana na malipo duni ya shoo. Kwa mujibu wa video zinazotembea mtandaoni, msanii huyo ameonekana kuchukulia mada hiyo kama ya kumkera na kumdhalilisha, akisisitiza kuwa suala la […]

Read More
 Kajala Adai Harmonize Aliwahi Kumsaidi Binti yake Kielimu

Kajala Adai Harmonize Aliwahi Kumsaidi Binti yake Kielimu

Muigizaji wa Bongo Movie Kajala Masanja amefunguka kuwa mwanamuziki Harmonize ambaye kwa sasa ni mume wake aliwahi kumlipia binti yake Paula Kajala ada ya shule alipokuwa akisoma kidato cha pili (Form Two). Kwa mujibu wa Kajala, msaada huo ulikuja katika wakati muhimu wa masomo ya Paulah, jambo analosema linadhihirisha namna Harmonize alivyokuwa tayari kubeba majukumu […]

Read More
 Harmonize Afunguka Kile Alichokuwa Akikikosa kwa Kajala Baada ya Kutengana

Harmonize Afunguka Kile Alichokuwa Akikikosa kwa Kajala Baada ya Kutengana

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize, amefunguka wazi kuhusu hisia zake binafsi na kile alichokuwa akikikosa zaidi kwa Kajala Masanja kipindi walipokuwa wametengana. Akizungumza kwa uwazi, Harmonize amesema kuwa licha ya Kajala kujulikana kwa urembo wake unaovutia wengi, kitu kikubwa zaidi alichokuwa akikimiss ni utu na tabia yake, akisisitiza kuwa utu wa Kajala ulimvutia […]

Read More
 Khaligraph Jones Atangaza Book of Jones Kuwa Albamu Bora Zaidi Kuwahi Kutoka Afrika Mashariki

Khaligraph Jones Atangaza Book of Jones Kuwa Albamu Bora Zaidi Kuwahi Kutoka Afrika Mashariki

Rapa mkali kutoka Kenya Khaligraph Jones ametangaza rasmi kuwa albamu yake Book of Jones ndiyo albamu bora zaidi katika historia ya muziki wa Kenya na Afrika Mashariki, akisisitiza kuwa hakuna mradi wowote kutoka ukanda huo uliowahi kufikia kiwango chake. Kupitia Instastory yake, Khaligraph amesema Book of Jones imeweka viwango vipya katika ubunifu, ubora wa sauti […]

Read More
 Mbosso Awajibu Wanaotilia Shaka Uandishi Wake Baada ya Mafanikio ya 2025

Mbosso Awajibu Wanaotilia Shaka Uandishi Wake Baada ya Mafanikio ya 2025

Msanii wa nyota wa Bongo Fleva Mbosso amewajibu wakosoaji wanaotilia shaka uwezo wake wa kuandika nyimbo baada ya mwaka wa 2025 kumwendea vyema kimuziki kwa kuachia kazi zilizopokelewa vizuri na mashabiki. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Mbosso ameonekana kuchoshwa na madai yanayosambaa mtandaoni kuwa anaandikiwa nyimbo zake, akiorodhesha maneno ambayo yamekuwa yakitumiwa kumdhalilisha kisanii. Hitmaker […]

Read More
 Akothee Aapa Kutoacha Kuwabusu na Kuwakumbatia Watoto Wake wa Kiume Licha ya Ukosoaji

Akothee Aapa Kutoacha Kuwabusu na Kuwakumbatia Watoto Wake wa Kiume Licha ya Ukosoaji

Msanii wa muziki, Akothee, ameibuka hadharani kutetea msimamo wake wa kuonyesha upendo kwa watoto wake wa kiume, akisema hataacha kuwabusu na kuwakumbatia licha ya ukosoaji unaoendelea kutoka kwa baadhi ya watu katika jamii. Akothee amesema kuwa kuna mitazamo potofu katika jamii inayowataka wazazi, hasa akina mama, waache kuwabusu au kuwawakumbatia watoto wao wa kiume wanapokuwa […]

Read More
 Mwijaku Amlilia Mke Wake Amrudie Baada ya Kuguswa na Uchumba wa Harmonize na Kajala

Mwijaku Amlilia Mke Wake Amrudie Baada ya Kuguswa na Uchumba wa Harmonize na Kajala

Mtangazaji na mdau wa burudani kutoka Tanzania, Mwijaku, amegusa hisia za mashabiki zake baada ya kumlilia mke wake hadharani kupitia mitandao ya kijamii, akimuomba arejee katika maisha yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwijaku alishiriki video ya wasanii Harmonize na Kajala Masanja wakifurahia maisha mara baada ya kuvishana pete ya uchumba. Video hiyo ilionekana kumgusa […]

Read More
 Familia ya Bahati Yajiandaa Kumpata Mtoto Mwingine Baada ya Ujauzito Kuthibitishwa

Familia ya Bahati Yajiandaa Kumpata Mtoto Mwingine Baada ya Ujauzito Kuthibitishwa

Malkia wa mitandao ya kijamii na mke wa mwanamuziki Bahati, Diana Marua, amethibitisha rasmi kuwa ni mjamzito, akifunga mjadala na tetesi zilizokuwa zikiendelea kwa kasi mitandaoni. Kupitia video aliyoshiriki, Diana amewaleta watoto wake pamoja kwa mazungumzo kabla ya kuwafahamisha kuwa familia yao iko njiani kumpokea mwanafamilia mpya. Akiwa na tabasamu na msisimko, amewaambia watoto wake […]

Read More