Mtoano Ligi ya Mabingwa Waanza leo Barani Ulaya

Mtoano Ligi ya Mabingwa Waanza leo Barani Ulaya

Mkondo wa kwanza wa mechi nane za hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya unatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo na kesho, huku michezo ya marudiano ikipangwa kuchezwa Jumanne na Jumatano ijayo. Katika ratiba ya leo, mabingwa wa Uturuki Galatasaray watawakaribisha vigogo wa Italia Juventus katika dimba la Rams Park, Uturuki. Wakati huo huo, […]

Read More
 WhatsApp Kuanza Kuonyesha Status Juu ya Sehemu ya Chats.

WhatsApp Kuanza Kuonyesha Status Juu ya Sehemu ya Chats.

Kampuni ya WhatsApp imeanza kujaribu mabadiliko mapya yatakayobadili namna watumiaji wanavyoona Status ndani ya programu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa za majaribio hayo, watumiaji wataanza kuona Status za marafiki zao juu kabisa ya sehemu ya Chats. Hii ni tofauti na ilivyo sasa, ambapo Status hupatikana katika sehemu maalum ya Updates. Mabadiliko haya yanamaanisha kuwa kila […]

Read More
 Nandy Akanusha Kuishi Maisha ya Kuigiza Mtandaoni

Nandy Akanusha Kuishi Maisha ya Kuigiza Mtandaoni

Msanii nyota wa Bongo Fleva Nandy amekanusha madai ya kuishi maisha ya kuigiza mtandaoni, akisema kuwa anachokionesha kwenye mitandao ya kijamii ni uhalisia wa maisha yake. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye Snapchat, Nandy amesema amekuwa akipokea jumbe kutoka kwa baadhi ya watu wanaodai kuwa mafanikio anayoyaonesha, ikiwemo magari na maisha ya kifahari, si ya kweli. Amesema […]

Read More
 Eric Omondi Aanza Rasmi Ujenzi wa Taasisi ya Sisi kwa Sisi

Eric Omondi Aanza Rasmi Ujenzi wa Taasisi ya Sisi kwa Sisi

Mchekeshaji na mwanaharakati wa kijamii Eric Omondi ameanza rasmi ujenzi wa taasisi ya Sisi Kwa Sisi Rescue baada ya kukamilisha safari ya kutembea kwa miguu kutoka Nairobi hadi Mombasa kwa ajili ya kuchangisha fedha. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Eric amethibitisha kuwa ndoto hiyo sasa imeanza kutimia, akieleza kuwa tayari wameweka jiwe la […]

Read More
 Muonekano wa Zuchu Wazua Tetesi za Ujauzito Mtandaoni

Muonekano wa Zuchu Wazua Tetesi za Ujauzito Mtandaoni

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Zuchu amezua gumzo mitandaoni baada ya kudaiwa kuwa ni mjamzito, kufuatia muonekano wake katika hafla ya Siku ya Wapendanao Duniani aliyohudhuria akiwa na mume wake, Diamond Platnumz. Katika picha na video zilizosambaa mtandaoni, baadhi ya mashabiki wamedai kuona mabadiliko katika mwonekano wa msanii huyo, jambo lililochochea uvumi kuwa huenda […]

Read More

betify : limites de Cashout pour les comptes vérifiés et non vérifiés

Comprendre les limites de retrait de betify aide à éviter les mauvaises surprises, surtout avant un premier versement. Les données disponibles distinguent surtout les méthodes de paiement, les plafonds et les étapes de validation, plutôt qu’un barème public séparé pour chaque statut de compte. Voici ce que vous pouvez vérifier avant de jouer, depuis les […]

Read More
 Rapa Toxic Lyrikali Aachia Diss Track Kujibu Mashambulizi ya Buruklyn Boyz

Rapa Toxic Lyrikali Aachia Diss Track Kujibu Mashambulizi ya Buruklyn Boyz

Rapa Toxic Lyrikali ameapa kutoyumba wala kupoteza mwelekeo wake wa kimuziki kutokana na kile alichokiita diss track bandia kutoka kwa baadhi ya marapa wa Kenya. Akijibu moja kwa moja mashambulizi kutoka kwa kundi la Buruklyn Boyz, ambao awali walitoa diss track iliyozua gumzo mitandaoni iitwayo Stima, Toxic amesema kuwa hataruhusu bifu za mitandaoni kumvuruga katika […]

Read More
 Diamond Atoa Mtaji kwa Wafanyibiashara Wadogo kama Zawadi ya Siku ya Valentine’s

Diamond Atoa Mtaji kwa Wafanyibiashara Wadogo kama Zawadi ya Siku ya Valentine’s

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameigeuza Siku ya Wapendanao Duniani kuwa siku ya matumaini kwa wafanyabiashara wadogo nchini kwao Tanzania baada ya kuamua kurudisha mkono kwa jamii. Kupitia video aliyochapisha mitandaoni, Diamond anaonekana akisimamisha gari lake kando ya barabara na kushuka kukutana na kundi la akina mama waliokuwa wakifanya biashara zao ndogo […]

Read More
 Nyota Ndogo Awaonyesha Upendo Madereva kwa Kuwapikia Chakula Siku ya Valentine’s

Nyota Ndogo Awaonyesha Upendo Madereva kwa Kuwapikia Chakula Siku ya Valentine’s

Mwanamuziki na mfanyabiashara kutoka Kenya, Nyota Ndogo, ameamua kuwaonyesha upendo madereva wa bajaji, boda boda na magari kwa kuwapikia chakula maalum kama ishara ya kuthamini mchango wao katika jamii kwenye siku ya wapendanao duniani. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Nyota Ndogo ameposti video ikionesha namna alivyowapikia pilau na kuwagawia madereva hao huku akisindikiza na maua […]

Read More