Entertainment

B2K MNYAMA AACHIA TRACLIST YA EP YAKE MPYA

B2K MNYAMA AACHIA TRACLIST YA EP YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva B2K Mnyama ameanika hadharani tracklist ya EP yake mpya inayokwenda kwa jina laThe Sound of B2K.

Kupitia Instagram yake msanii huyo amechapisha artwork ya EP  hiyo ambayo ina jumla ya ngoma 6 ya moto ambazo amezifanya kama msanii wa kujitegemea.

EP hiyo ambayo ina nyimbo kama sio sawa, yote yote,Nauliza, Sawa, hayabadiliki itaingia sokoni rasmi Julai 2 mwaka wa 2022.

The Sound of B2K ni EP ya kwanza kwa mtu mzima B2K kuitoa tangu aanze safari yake ya muziki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *