Entertainment

CAROL NANTOGO MBIONI KUTAFUTA UONGOZI MPYA

CAROL NANTOGO MBIONI KUTAFUTA UONGOZI MPYA

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda Carol Nantogo anatafuta meneja ambaye yupo tayari kumsimamia kwenye kazi zake za muziki.

Mrembo huyo amesema kuwa meneja wake wa sasa KT amemwaambie atafute uongozi mwingine kwa sababu ameshikaka na shughuuli zake lakini atakuwa akimsaidia wakati wowote akimhitaji.

Nantogo amesema kuwa anatafuta mtu ambaye ana uelewa mpana kwenye masuala ya muziki.

Hitmaker huyo wa Ensonga aliigura bendi ya muziki ya Golden na akajiunga na uongozi wa  KT promotions lakini inaonekana mambo hayajaenda sawa kama alivyotarajia hapo awali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *