Entertainment

FREE BOY AFUNGUKA UKIMYA WAKE KWENYE MUZIKI

FREE BOY AFUNGUKA UKIMYA WAKE KWENYE MUZIKI

Msanii kutoka Uganda Free Boy alijipatia umaarufu afrika mashariki mwaka wa 2020 alipoachia singo yake iitwayo “Kwata Essimu” ambayo alimshirikisha Winnie Nwagi.

Msanii huyo ambaye hajakuwa akiachia nyimbo amesema anatafuta uongozi mpya ambao utasimamia kazi zake za muziki.

Freeboy amesema tangu ampoteze meneja wake Treggy Eyotre Godwin mwaka wa 2021 mipango yake ya muziki imesambaratika ikizingatiwa ana nyimbo nyingi studio ambazo hazijatok kutokana na ukosefu wa pesa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *