Entertainment

JUSTIN BIEBER ATHIBITISHA MPANGO WA KUPATA MTOTO NA MKEWE HAILEY BALDWIN MWAKA HUU.

JUSTIN BIEBER ATHIBITISHA MPANGO WA KUPATA MTOTO NA MKEWE HAILEY BALDWIN MWAKA HUU.
Staa wa muziki wa Pop duniani Justin Bieber anataka mtoto sasa, amefunguka hadharani.
 
Kwenye Documentary mpya (Justin Bieber: Our World) iliyoruka kupitia Amazon Prime, Justin Bieber amemwambia mkewe Hailey Baldwin kwamba yupo tayari kuanzisha familia ambapo ataanza rasmi mchakato wa kumpa ujauzito mwaka huu.
 
“Nia yangu kwa mwaka 2021 ni kuendelea kuweka malengo na kufurahi wakati nikiyafanyia kazi. Kuipa kipaumbele familia yangu ndio jambo la msingi na natumai kwamba tutajaribu kupata mtoto.” amesema Bieber mbele ya Hailey kwenye mkesha wa kuingia mwaka wa 2021.
 
 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *