Entertainment

MEEK MIL KUDONDOSHA ALBUM 10 BILA KUTEGEMEA LEBO YEYOTE

MEEK MIL KUDONDOSHA ALBUM 10 BILA KUTEGEMEA LEBO YEYOTE

Baada ya kutemana na Roc Nation , Meek Mill ameamua kujitoa kimasomaso kwa kuja na mpango kabambe wa kuachia Album 10 chini ya usimamizi wake mwenyewe (Independent Artist).

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii huyo ameeleza kinaga ubaga mipango yake mwaka huu, ikiwa ni pamoja na kuachia ngoma mpya siku ya kumbukizi ya kifo cha Baba yake Aug 18, na kuacha milango wazi kwa wadhamini kuwekeza mpunga katika kazi hizo.

“10 tapes independently starting September … new music dropping AUGUST 18 the day my dad died is when I start wylinnnnnnn again! I’m not dropping albums on Friday either!”, Ameandika Instagram

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *