Entertainment

NEYO AFUNGA NDOA NA MKEWE CYSTAL SMITH KWA MARA YA PILI

NEYO AFUNGA NDOA NA MKEWE CYSTAL SMITH KWA MARA YA PILI

Mwanamuziki wa R&B kutoka Marekani,  Ne-Yo na mkewe Crystal Smith wamefunga ndoa nyingine tena baada ya ndoa yao iliyodumu miaka 4 kuvunjika kwa talaka mwaka 2020.

Wawili hao wamekula kiapo cha ndoa tena baada ya kurudisha mahusiano yao mwaka 2021 na wamefunga ndoa hiyo mwishoni mwa wikiendi (Jumapili) huko Sin City, Vegas.

Neyo na mkewe Crystal Smith wamebarikiwa kupata watoto watatu huku Ne-Yo akiwa na watoto wengine wawili aliowapata na ex wake Monyetta Shaw.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *