Entertainment

OCTOPIZZO AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “FUEGO”

OCTOPIZZO AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “FUEGO”

Hatimaye Mkali wa muziki wa Hiphop nchini Octopizzo ameachia rasmi album yake mpya aliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki zake.

Hitmaker huyo  “Motivation” amewabarki mashabiki zake na  “Fuego” album ambayo ina jumla ya nyimbo 12, ikiwa na kolabo 2 pekee kutoka kwa wakali kama Freeman na Milo Madness.

Album hiyo kwa sasa inapatikana kwenye majukwaa yote ya ku-stream muziki duniani na ina ngoma kama Wewe, Bang,One More Time,  Go Hard,Rada Ni Gani, Single,Bang na nyingine nyingine.

Hii  ni Album ya 6 kwa mtu mzima Octopizzo, baada ya Jungle Fever iliyotoka mwaka wa 2020 ikiwa na jumla ya mikwaju 15 ya moto.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *