Entertainment

RUFFTONE ATIA NIA YA KUGOMBEA USENETA NAIROBI MWAKA 2022

RUFFTONE ATIA NIA YA KUGOMBEA USENETA NAIROBI MWAKA 2022

Staa wa muziki wa Injili nchini Rufftone ametia nia ya kuomba ridhaa ya kugombea Useneta kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022.

Akipiga stori na Churchil, Rufftone amepata msukumo wa kugombea useneta kutokana na kero ambazo vijana wanakutana nazo kwenye suala la kusaka ajira.

Hitmaker huyo wa “Mungu Baba” amedokeza kwamba hivi karibuni ataweka wazi jina la chama ambalo atalitumia kuwania useneta  kaunti ya Nairobi.

Rufftone anakuwa msanii wa tano nchini kuweka wazi nia ya kugombea uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2021 baada ya Jalang’o, Frasha, Gabu, na Prezzo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *