Tech news

SPOTIFY YAWEKA LYRICS KATIKA MUZIKI

SPOTIFY YAWEKA LYRICS KATIKA MUZIKI

Hatimaye, App ya Spotify imeanza kuweka Real-Time Lyrics katika Miziki kwa watumiaji wote duniani. Real-time lyrics ni uwezo wa kuona lyrics kuendana na muziki unaosikiliza.

Feature hii ilikuwa inafanyiwa majaribio katika baadhi ya nchi, na Spotify imesema itaweka rasmi kwa watumiaji wote (kwa watumiaji wanaolipia na watumiaji ambao wanatumia huduma ya bure) katika apps (Android na iOS), na Spotify ya PC.

Spotify imeshirikiana na Musixmatch kuwezesha maboresho hayo. Feature hii ikianza kutoka rasmi: Utaweza kutazama Lyrics za Nyimbo.

Apple Music imekuwa ikiishinda Spotify katika issue ya kuweka lyrics, kwa sababu ilitumia akili kuinunua Shazam na database yake. Deezer, Apple Music, Tidal, Amazon na platform nyingi zimeweka lyrics.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *