A Pass Ashambuliwa Siku ya Uchaguzi Uganda
Mwanamuziki kutoka Uganda, A Pass, amefichua kuwa alipata majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Januari 15. A Pass amesema tukio hilo lilitokea karibu na kituo cha kupigia kura, takribani mita 50 kutoka eneo la kura, alipodai kuvamiwa ghafla na wanaume watatu. Kwa mujibu wa msanii huyo, shughuli zake […]
Read More