West Ham Yamnasa Adama Traore Kutoka Fulham kwa Pauni Milioni 2
Kilabu cha West Ham kimemsajili winga Adama Traore kutoka Fulham kwa ada ya pauni milioni 2. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 anahama kutoka magharibi hadi mashariki mwa London, ambapo anaungana tena na Nuno Espirito Santo, ambaye alimsimamia katika Wolves. Mchezaji huyo amabye ameichezea uhispania mechi nane, ameanza mechi mbili pekee za Ligi kuu […]
Read More