Nigeria na Misri Zatinga Robo Fainali AFCON 2025

Nigeria na Misri Zatinga Robo Fainali AFCON 2025

Timu ya Taifa ya Nigeria, maarufu kama Super Eagles, imefanikiwa kutinga robo fainali ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Msumbiji katika hatua ya 16 bora. Kwa matokeo hayo, Nigeria sasa inasubiri mshindi wa mchezo mwingine wa hatua ya 16 bora kati ya Algeria na […]

Read More