Alikiba Amtambulisha Meneja Mpya Kings Music
Staa wa muziki wa Bongo Flava na mmiliki wa lebo ya Kings Music Records, Alikiba, ametambulisha rasmi meneja wake mpya, Benjamin Otwal, katika hafla iliyofanyika jana nchini Kenya. Kupitia utambulisho huo, Alikiba amemkaribisha Benjamin Otwal kama sehemu ya uongozi mpya unaolenga kuimarisha shughuli za muziki na biashara za Kings Music ndani na nje ya Afrika […]
Read More