Programu ya “Are You Dead?” Yashika Kasi China

Programu ya “Are You Dead?” Yashika Kasi China

Programu mpya ya simu ya mkononi iitwayo “Are You Dead?” imepata umaarufu mkubwa nchini China, hususan miongoni mwa vijana wanaoishi peke yao katika miji mikubwa. Programu hiyo humtaka mtumiaji kubonyeza kitufe kimoja kila siku kuthibitisha kuwa yuko hai na salama, ambapo taarifa hutumwa kwa mtu wa dharura aliyeteuliwa. Kwa mujibu wa watengenezaji wake, endapo mtumiaji […]

Read More