Azziad Nasenya Awasilisha Kesi Kuzuia Mnada wa Nyumba Yake Kileleshwa
Mwanamitindo na mtangazaji wa redio, Azziad Nasenya, amewasilisha kesi katika Mahakama ya Biashara jijini Nairobi akiomba kusitishwa kwa mnada uliopangwa kufanywa dhidi ya nyumba yake ya kifahari iliyoko Kileleshwa, Nairobi. Kulingana na hati za mahakama, Azziad anasema yuko katika hatari ya kupoteza mali hiyo licha ya kwamba tayari amekamilisha kulipa deni lote la mkopo aliochukua […]
Read More