Azziad Ajibu Vikali Lawama Kuhusu Mabadiliko ya Lafudhi Yake ya Kiingereza
Mtayarishaji wa maudhui na mtangazaji wa redio, Azziad Nasenya, amewasuta vikali wakosoaji wanaoendelea kumshambulia mitandaoni kwa kile walichodai ni kubadilika kwa lafudhi (accent) yake ya lugha ya Kiingereza. Azziad ameeleza kuwa lafudhi yake itaendelea kubadilika kadri anavyoendelea kukutana na tamaduni na jamii mbalimbali, na kwamba hakuna kiwango cha unyanyasaji au kejeli kitakachoweza kumkatisha tamaa. Akizungumza […]
Read More