Kenya Kuandaa Mashindano ya Kikapu ya Afrika Kanda ya Tano na Mchujo wa BAL Mwezi Ujao
Kenya imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya kikapu ya Afrika kanda ya tano pamoja na mchujo wa kufuzu kwa ligi ya Basketball Africa League (BAL) kwa wanaume, yatakayofanyika mwezi ujao. Kwa mujibu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Nchini (KBF), mashindano ya wanawake yataanza kuchezwa kuanzia tarehe 9 hadi 15 Novemba katika uwanja […]
Read More