Bella Kombo Akataa Kufuta Tatto Zake Licha ya Lawama

Bella Kombo Akataa Kufuta Tatto Zake Licha ya Lawama

Msanii wa muziki wa injili, Bella Kombo, ameweka bayana msimamo wake kufuatia shinikizo kutoka kwa baadhi ya mashabiki waliomtaka afute tattoo alizonazo mwilini. Akizungumza katika mahojiano ya hivi karibuni, Bella amesema yuko tayari kupokea maoni ya watu, lakini hatokubali kuhatarisha afya wala maisha yake kwa lengo la kuwafurahisha wengine. Ameeleza kuwa tattoo hizo zina maana […]

Read More