Bradley Ibs Atwaa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Novemba 2025

Bradley Ibs Atwaa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Novemba 2025

Kocha wa Nairobi City Thunder, Bradley Ibs, ametangazwa rasmi kuwa Kocha Bora wa Mwezi Novemba 2025 baada ya kutwaa tuzo ya Betika/SJAK, tuzo inayotolewa kwa kutambua mchango wa makocha waliobobea katika michezo mbalimbali nchini. Bradley alipata heshima hiyo kufuatia mafanikio makubwa aliyopata akiwaongoza mabingwa wa Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu nchini kufuzu kwa Ligi […]

Read More