Chief Godlove: Wivu imekwamisha Vijana wa Tanzania Kuwa Matajiri
Mwanamitandao kutoka Tanzania, Chief Godlove, amesema kuwa wivu, ujuaji mwingi, ubishi na kutotamani kuona wengine wakifanikiwa ni miongoni mwa sababu kuu zinazowakwaza vijana wengi wa Tanzania kushindwa kujijenga kiuchumi na kufikia ndoto za kuwa matajiri. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Chief Godlove amehoji kwa nini vijana wa Tanzania wenye umri wa miaka 35 kushuka chini […]
Read More