Chief Loot Music yaweka wazi masharti magumu ya mkataba wa miaka 10.
Lebo ya muziki ya Chief Loot Music inayomilikiwa na Bilionea Chief Godlove, imetoa taarifa rasmi ili kuondoa sintofahamu kwa wasanii wanaotamani kusainiwa na lebo hiyo. Kupitia taarifa hiyo, uongozi wa lebo hiyo umesisitiza kuwa muziki ni biashara na si msaada, hivyo wasanii wanapaswa kuelewa na kukubaliana na masharti ya mkataba kabla ya kusaini. Kwa mujibu […]
Read More