ChiefGodlove Awataka Wasanii Bongofleva Kuwekeza Hela Kwenye Muziki
Meneja na mdau mkubwa wa muziki wa Bongo Fleva, Chief Godlove, amewakosoa vikali baadhi ya wasanii wa muziki wa Tanzania kwa kile alichokitaja kuwa ni uvivu na kukosa uwekezaji wa kutosha kwenye kazi zao. Kwa mujibu wa Godlove, mafanikio katika muziki wa kisasa yanahitaji mipango madhubuti, nidhamu, na uwekezaji wa kweli, hasa katika majukwaa ya […]
Read More