Chin Bees Asema Aliandika Nyimbo za Navy Kenzo Bila Kulipwa
Msanii kutoka Tanzania, Chin Bees, amefunguka wazi kuhusu uhasama wake na kundi la muziki la Navy Kenzo, akisema hana mapenzi nao kabisa kutokana na kile alichodai kuwa alidhulumiwa kimasilahi. Kulingana na Chin Bees, aliandika baadhi ya nyimbo za kundi hilo lakini hakuwahi kulipwa wala kutambuliwa kwa mchango wake. Akipiga stori na Mjini FM, amesema kuwa […]
Read More