Ciggie Johnson Asema Vera Sidika Sio Type Yake
Mdau wa masuala ya burudani na matukio, Ciggie Johnson, ameweka wazi kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na Vera Sidika licha ya uvumi ulioenea mitandaoni kuwa anatoka na Socialite huyo wa Kenya. Kupitia mahojiano maalum na runinga ya NTV, Ciggie amesema kuwa uhusiano wake na Vera umejikita zaidi katika shughuli za kibiashara na sio mapenzi kama […]
Read More