East African Classic Rally 2025 Yazinduliwa Rasmi Kwale
Makala ya mwaka huu ya Mbio za Magari za East Africa Classic Rally yalianza leo huko Diani, Kaunti ya Kwale, ambapo dereva Piers Daykin wa Kenya, na mwenzake Lloyd Destro katika gari aina ya Datsun 280Z, waliongoza kwa kasi katika sehemu ya SS3. Johnny Gemmell wa Afrika Kusini anashikilia nafasi ya pili, akifuatiwa kwa karibu […]
Read More