DNA Afichua Sababu za Kukosa Show Nchini Kenya

DNA Afichua Sababu za Kukosa Show Nchini Kenya

Msanii mkongwe wa muziki wa Kenya, DNA, amefunguka na kueleza sababu zinazowafanya mapromota wengi nchini humo kukataa kumpa nafasi ya kutumbuiza kwenye matamasha ya muziki. Akizungumza kwa uwazi, DNA amesema moja ya changamoto kubwa inayomkabili ni tabia yake ya kutojipendekeza au kuwabembeleza watu ili apate kazi. Kwa mujibu wake, hali hiyo imefanya baadhi ya mapromota […]

Read More