Dogo Janja Aapishwa kama Diwani wa Ngarenaro Arusha
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulazizi Chende, maarufu kama Dogo Janja, ameapishwa rasmi kuwa Diwani wa Kata ya Ngarenaro katika Halmashauri ya Jiji la Arusha, hatua inayomuingiza kwenye majukumu mapya ya uongozi wa kijamii. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dogo Janja ameeleza kuwa anamshukuru Mungu kwa kuthibitishwa katika nafasi hiyo pamoja na kupewa majukumu […]
Read More