Emmy Kosgei Azua Gumzo Kuhusu Maisha ya Wachungaji Nairobi
Mwimbaji mkongwe wa muziki wa injili, Emmy Kosgei, amezua mjadala mzito baada ya kudai kuwa baadhi ya wachungaji jijini Nairobi wanaishi maisha ya anasa yanayokinzana na mafundisho wanayohubiri makanisa siku za Jumapili. Akizungumza kufuatia mazungumzo aliyoyapata akiwa safarini kwa ndege, Kosgei amesema alipata simulizi kutoka kwa mhudumu wa ndege (air hostess) aliyedai kuwa wachungaji wengi […]
Read More