Esma Amkingia Kifua Diamond Platnumz Baada ya Madai ya Kupaka Lipstick

Esma Amkingia Kifua Diamond Platnumz Baada ya Madai ya Kupaka Lipstick

Dada yake msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz, Esma Platnumz, amejitokeza hadharani na kumtetea kaka yake kufuatia madai yaliyoenea mitandaoni kuwa Diamond alikuwa amepaka lipstick. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Esma amesema watu waache ushamba na kutoa hukumu zisizo na msingi. Kwa mujibu wake, Diamond hakupaka lipstick bali alitumia lip balm, bidhaa ya kawaida ya […]

Read More