Fantana Amwonya Diamond Platnumz Hadharani Baada ya Kutajwa Kwenye Tamasha Lagos
Mwimbaji kutoka Ghana, Fantana, amemwonya staa wa muziki wa Tanzania, Diamond Platnumz, baada ya kudaiwa kulitaja jina lake wakati wa tamasha lake la hivi karibuni jijini Lagos, Nigeria. Kupitia Instagram Story, Fantana amehoji sababu ya Diamond kuendelea kulitaja jina lake hadharani ilhali anadaiwa kuwa na furaha katika ndoa yake. Amesema hatua hiyo si ya lazima […]
Read More