Fathermoh Adharau Muziki wa Toxic Lyrikali Kupitia Diss Track Mpya
Msanii wa Gengetone kutoka Kenya, Fathermoh, ameachia wimbo mpya wa diss unaomlenga rapa Toxic Lyrikali, akimrushia vijembe vikali kuhusu mwelekeo wa kazi yake ya muziki na madai ya kukosa mafanikio ya kimataifa. Katika diss track hiyo, Fathermoh anahoji uwezo wa Toxic Lyrikali kuvuka mipaka ya Kenya kimuziki, akimdharau kwa kile anachodai ni ukosefu wa show […]
Read More