Gloria Bugie Akiri Mwili Wake Sio Hekalu la Mungu
Msanii wa muziki kutoka Uganda, Gloria Bugie, amezua mjadala mpana baada ya kukiri wazi kuwa mwili wake sio hekalu la Mungu, akisema amefanya dhambi nyingi katika maisha yake ya nyuma. Gloria Bugie amesema kuwa amewahi kuingia katika mahusiano ya kimapenzi na watu wenye ushawishi mkubwa ndani ya tasnia ya burudani. Kwa mujibu wake, mahusiano hayo […]
Read More