Google Yaunganisha Akili Bandia ya Gemini Ndani ya Gmail
Google imetangaza rasmi kuingiza akili bandia yake ijulikanayo kama Gemini ndani ya mfumo wa barua pepe wa Gmail, hatua inayokuja na mabadiliko makubwa kwa watumiaji wake duniani kote. Kuanzia sasa, watumiaji wa Gmail wataanza kuona mwonekano mpya wa Gmail, sambamba na huduma mpya za akili bandia zitakazosaidia kuandika na kujibu barua pepe kwa urahisi zaidi. […]
Read More