Gody Tennar Afunguka Sakata la Kuiba Ipad na Laptop Australia

Gody Tennar Afunguka Sakata la Kuiba Ipad na Laptop Australia

Msanii wa muziki wa Urbantone, Gody Tennor, amejitokeza kufafanua madai yaliyosambaa kuwa aliiba chain, iPad na laptop alipokuwa kwenye ziara yake nchini Australia. Akizungumza katika mawasiliano ya simu na mtangazaji Tonny Mwirigi, msanii huyo amesema madai hayo si ya kweli, akieleza kuwa mali hizo alizipokea kama zawadi kutoka kwa shabiki wa kike aliyekutana naye wakati […]

Read More