Msanii Grace Khan Ashikiliwa Rehab Kwa Deni la Milioni 5
Msanii wa muziki kutoka Uganda Grace Khan anaripotiwa kushikiliwa kwenye kituo cha tiba ya uraibu (rehab) jijini Kampala baada ya kushindwa kulipa bili zinazodaiwa kufikia zaidi ya shilingi milioni 5 za Uganda. Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na familia yake, ndugu wa msanii huyo wameshindwa hadi sasa kukusanya fedha hizo, hali iliyosababisha uongozi wa […]
Read More