Timu Ya Hoki Ya Wanawake Ya Kenya Yapokea Udhamini Kutimiza Ndoto Ya Olimpiki
Matumaini ya Kenya ya kushirikisha timu ya hoki kwenye michezo ya Olimpiki mwaka 2028 jijini Los Angeles yamepigwa jeki baada ya kamati ya Olimpiki humu nchini kuzindua ufadhili kutoka kwa kamati ya Olimpiki duniani kwa timu ya wanawake ya hoki. Timu hiyo ya wanawake ya hoki sasa inatarajiwa kuanza mpango wa maandalizi wa kufuzu kwa […]
Read More