Instagram Yabadilisha Mkakati wa Engagement Kupitia Hashtag
Instagram imeweka mwelekeo mpya kwa watumiaji wake kwa kuruhusu matumizi ya hashtag tano pekee kwa kila post. Hatua hii inalenga kuondoa kelele zisizo na maana na kuimarisha ubora wa maudhui yanayopandishwa kwenye mtandao huo wa kijamii. Kwa mujibu wa mabadiliko haya, algorithm ya Instagram sasa inalenga kusoma na kutambua maudhui yenye thamani, badala ya kutegemea […]
Read More