IOC Yapiga Marufuku Wanawake Waliobadili Jinsia Kushiriki Mashindano ya Wanawake

IOC Yapiga Marufuku Wanawake Waliobadili Jinsia Kushiriki Mashindano ya Wanawake

Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki, IOC, imechukua hatua kubwa ya kupiga marufuku wanawake waliobadili jinsia kushiriki katika mashindano ya wanawake katika michezo yote. Kinara wa IOC, Kirsty Coventry, ambaye ni mwogeleaji wa zamani na mshindi wa medali saba za Olimpiki, amethibitisha kuwa hatua hii ni sehemu ya kampeni yake ya uchaguzi. Marufuku hiyo inaweza kutangazwa […]

Read More