Mastaa wa Kenya Washindwa Kukubaliana Ratiba ya Ziara ya IShowSpeed
Mastaa na wadau wa burudani nchini Kenya wamejikuta wakishindwa kufikia mwafaka kuhusu ratiba ya mapokezi na matembezi ya streamer na YouTuber maarufu duniani, IShowSpeed, ambaye yupo kwenye ziara kubwa barani Afrika. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa mtandaoni, wapo wanaodai ziara ya Youtuber huyo ni fursa adhimu ya kuonyesha upande mzuri wa Kenya, ikiwemo utalii, utamaduni, […]
Read More