Ivy Trizah Muhenje Avikwa Rasmi Taji la Miss World Kenya 2026
Mrembo Ivy Trizah Muhenje ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa taji la Miss World Kenya 2026, taarifa iliyothibitishwa na uongozi wa Mr and Miss World Kenya kupitia mitandao yao ya kijamii. Katika taarifa yao, waandaaji hao wameeleza furaha yao wakisema kuwa wamefurahishwa kutawazwa kwa Ivy Trizah Muhenje kama Miss World Kenya 2026, hatua iliyopokelewa kwa shangwe […]
Read More