Jacqueline Wolper Asema Amekaa Mwaka Mzima Bila Tendo la Ndoa
Staa wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper, amefunguka tusiyoyajua kuhusu maisha ya ndoa yake na mume wake Rich Mitindo Akipiga stori katika kipindi cha A List Reality Show, Wolper ameushangaza umma kwa kufichua siri ya maisha yake ya unyumba. Wolper amesema bila aibu kuwa yeye na mume wake si watu wa kushiriki tendo la ndoa mara […]
Read More