Msanii Mkongwe wa Reggae Jimmy Cliff Afariki Dunia
Nguli wa muziki wa reggae duniani, Jimmy Cliff, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Familia yake ilithibitisha taarifa hizo jana, ikieleza kuwa alifariki baada ya kupata mshituko (seizure) uliotanguliwa na pneumonia. Jimmy Cliff, ambaye amekuwa mmoja wa wasanii tajika katika historia ya reggae, alijizolea umaarufu kupitia vibao kama “Many Rivers to Cross”, “Wonderful […]
Read More