Msanii Jimmy Gait Anusurika Kifo Baada ya Kujeruhiwa na Wahuni
Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya, Jimmy Gait, amenusurika kifo mapema leo baada ya kuvamiwa na kushambuliwa vibaya na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi . Kwa mujibu wa swahiba wake wa karibu DJ Mo, tukio hilo la kusikitisha lilitokea leo majira ya saa nne asubuhi katika mtaa wa kifahari wa Runda, Nairobi, ambapo msanii huyo […]
Read More