Juma Lokole Amlalamikia Wema Sepetu kwa Kukimbia Dili la Kazi

Juma Lokole Amlalamikia Wema Sepetu kwa Kukimbia Dili la Kazi

Mdau wa masuala ya burudani, Juma Lokole, ameonyesha maumivu na masikitiko makubwa kufuatia kitendo cha muigizaji maarufu Wema Sepetu kudaiwa kukimbia kazi waliyokuwa wamekubaliana. Akizungumza kwa uchungu, Juma amesema alimpa Wema dili la kazi baada ya makubaliano yote kukamilika ikiwemo kukubali kiwango cha malipo na kukatiwa tiketi ya ndege kwa ajili ya utekelezaji wa mradi […]

Read More
 Juma Lokole Atoboa Siri Nzito Kuhusu Wemasepetu,

Juma Lokole Atoboa Siri Nzito Kuhusu Wemasepetu,

Mdau wa masuala ya burudani, Juma Lokole, amezua mjadala mpana mitandaoni baada ya kudai kuwa Wema Sepetu aliwahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mfanyabiashara tajiri anayefahamika kwa jina la MO. Akizungumza kupitia Instagram yake, Juma Lokole amesema licha ya madai hayo, Wema aliweza kuficha siri za mahusiano yake na hakuwahi kuanika mambo ya ndani […]

Read More